RAIS DKT. MWINYI ASHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU MZEE MSURU MUHIDINI


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wakati alipofika Msikiti wa Muembemimba Wilaya ya Mjini Mkoa Mjini Magharibi, kushiriki kumswalia Marehemu Mzee Msuri Muhidini aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Mjini pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Tawi la CCM Mikunguni Jimbo la Kwahani,Marehemu atazikwa Kijijini kwao Unguja Ukuu Kaebona Wilaya ya Kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akijumuika na Viongozi na Waislamu kumswalia Marehemu Mzee Msuri Muhidini aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Mjini pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Tawi la CCM Mikunguni Jimbo la Kwahani, Swala iliongozwa na Naibu Kadhi Mkuu Sheikh Hassan Othman Ngwali (mbele) katika Msikiti wa Muembe Mimba Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo,Marehemu atazikwa Kijijini kwao Unguja Ukuu Kaebona Wilaya ya Kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akijumuika na Viongozi na Waislamu kuitikia dua iliyoombwa baada ya kumswalia Marehemu Mzee Msuri Muhidini aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Mjini pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Tawi la CCM Mikunguni Jimbo la Kwahani, katika Msikiti wa Muembemimba Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo,Marehemu atazikwa Kijijini kwao Unguja Ukuu Kaebona Wilaya ya Kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Waislamu na Wananchi baada ya kumswalia Marehemu Mzee Msuri Muhidini aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Mjini na pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Tawi la CCM Mikunguni Jimbo la Kwahani katika Msikiti wa Muembemimba Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo,Marehemu atazikwa Kijijini kwao Unguja Ukuu Kaebona Wilaya ya Kati Unguja.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news