NA MWANDISHI DIRAMAKINI
Mwanamke mwenye umri wa miaka 21 mkazi wa Molo katika Kaunti ya Nakuru nchini Kenya amejiua baada ya kutoridhishwa na mienendo ya mume wake.
Kupitia barua iliyonaswa na DIRAMAKINI Blog, mwanamke huyo amesema, alishindwa kuvumilia matendo ya mumewe, hivyo ameamua kujiua ili kumpa nafasi ya kujiachia zaidi.
Kiongozi wa eneo hilo Hassan Waweru amethibitisha tukio hilo akisema kwamba mwanamke huyo alitumia sumu na baadaye akajinyonga. Yafuatayo ni maelezo ya barua hiyo;
Tags
Kimataifa