Rais wa New Covenant Unity International (NCUI) ambaye pia ni Kiongozi wa Huduma ya Sauti ya Uponyaji Tanzania, Nabii Dkt.Joshua Aram Mwantyala amesema kuwa, iwe mvua, iwe jua ataendelea kusimama imara katika maombi ... TAZAMA VIDEO 📸 chini
Mitume na Manabii wamwelezea Nabii Dkt.Joshua ... TAZAMA VIDEO 📸 chini
Sauti ya Uponyaji Tanzania ina makao yake makuu eneo la Yespa Kihonda mjini Morogoro ambapo imekuwa baraka kwa maelfu ya watu kupitia maombi na neno la Mungu.
Tags
Habari