Chama Cha Wananchi (CUF) kimejumuika na vyama vya Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama cha ACT Wazalendo kususia mwaliko wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kushiriki hafla ya uwasilishaji ripoti ya Uchaguzi wa 2020, itakayofanyika kesho Agosti 21,2021 mkoani Dar es Salaam. ACT Wazalendo nao wasusia soma hapa.
Pia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimechukua hatua sawa,Kwa kina kuhusiana na msimamo wa CHADEMA soma hapa.