Mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Consesa Prosper amemtuhumu kiongozi wake wa dini, Nabii Suleiman Juma Omary, Mchungaji wa Kanisa la Mlima Sinai lililopo Kimara jijini Dar es Salaam, kuwa amemdhulumu fedha zake baada ya kwenda kanisani hapo akihitaji msaada wa kiroho. Tazama video hapa chini;