Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, akutana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, mara baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya ukaguzi wa miradi mbalimbali inayotekelezwa na wizara yake leo tarehe Agosti 11, 2021. (Picha na Deniza Cyprian-WUU).