
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe 8 Agosti,2021 wakati akitokea jijini Dar es Salaam alikofanya shughuli mbalimbali za Kitaifa . 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kusaili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe 8 Agosti,2021 akitokea jijini Dar es Salaam.(Picha na IKULU)