Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Dkt. Monica Nsanzabaganwa wakionesha mkataba wa Tanzania wa kukubali kuanzishwa kwa Taasisi ya Udhibiti wa Dawa ya Umoja wa Afrika (African Medicines Agency (AMA)) mara baada ya kusaini Mkataba huo tarehe 10 Agosti,2021 katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika Addis Ababa, Ethiopia.Tanzania inakuwa Nchi ya 22 kusaini Mkataba huo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) panoja na Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Dkt. Monica Nsanzabaganwa wakionesha Mkataba wa Tanzania wa kukubali kuanzishwa kwa Taasisi ya Udhibiti wa Dawa ya Umoja wa Afrika (African Medicines Agency (AMA)) mara baada ya kusaini Mkataba huo tarehe 10 Agosti,2021 katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika Addis Ababa, Ethiopia.Tanzania inakuwa Nchi ya 22 kusaini Mkataba huo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Dkt. Monica Nsanzabaganwa wakionesha Mkataba wa Tanzania wa kukubali kuanzishwa kwa Taasisi ya Udhibiti wa Dawa ya Umoja wa Afrika (African Medicines Agency (AMA)) mara baada ya kusaini Mkataba huo tarehe 10 Agosti,2021 katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika Addis Ababa, Ethiopia.Tanzania inakuwa Nchi ya 22 kusaini Mkataba huo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Dkt. Monica Nsanzabaganwa pamoja na baadhi wajumbe kabla ya kusaini mkataba wa Tanzania wa kukubali kuanzishwa kwa Taasisi ya Udhibiti wa Dawa ya Umoja wa Afrika (African Medicines Agency (AMA).
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe alioongozana nao katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika zilizopo Addis Ababa nchini Ethiopia mara baada ya kusaini mkataba wa Tanzania wa kukubali kuanzishwa kwa Taasisi ya Udhibiti wa Dawa ya Umoja wa Afrika (African Medicines Agency (AMA)) Tarehe 10 Agosti,2021. Tanzania inakuwa Nchi ya 22 kusaini Mkataba huo