Waziri Gwajima atangaza kurejewa upya gharama za upimaji wa Corona kwa wasafiri nchini Tanzania
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima (Mb) leo Agosti 11,2021 ametoa taarifa ya kurejelewa upya kwa gharama za upimaji wa Virusi vya Corona kwa wasafiri nchini Tanzania kama ifuatavyo;