"Natoa rai kwa wananchi kutumia mitandao vizuri ili kupata taarifa sahihi toka chanzo husika za njia za sayansi ya kujikinga dhidi ya UVIKO-19 ikiwemo njia ya kupata chanjo, badala ya kupotosha au kusoma taarifa ambazo zimeshapotoshwa," Waziri wa Afya, Dkt.Dorothy Gwajima.