NA MWANDISHI DIRAMAKINI
Waandishi wa habari mkoani Geita akiwemo Robert Kalokola wa Diramakini Blog, Esther Sumira wa Azam TV na Consolata Evarist wa Global TV wamenusurika kifo katika ajali

Kalokola na wenzake walikuwa wanaelekea Wilaya ya Nyang'hwale mkoani Geita kutafuta habari.
"Gari imeanguka vibaya, lakini wote tuko salama.Tunamshukuru Mungu sana kwa kutuokoa ,"ameeleza Kalokola.