
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiwafariji watoto wa marehemu William Ole Nasha aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Uwekezaji, alipofika nyumbani kwa marehemu Medeli jijini Dodoma leo Septemba 29,2021. (Picha zote na Ofisi ya Makamu wa Rais).