Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Dkt. Suleiman Serera amewapongeza madiwani wa kata za Endiamtu Lucas,Zacharia Chimba na Diwani wa Kata ya Mirerani, Salome Nelson Mnyawi kwa kuandaa hafla fupi ya kuwapongeza walimu, wanafunzi, viongozi, wazazi na walezi wa shule za Msingi Mji mdogo wa Mirerani na Wilaya ya Simanjiro kwa ujumla kutokana na matokeo mazuri ya kwenye mtihani wa darasa la saba kwa mwaka huu, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Kazamoyo Inn.(Picha na Mary Margwe).
Tags
Picha