NA MWANDISHI DIRAMAKINI
TUME ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) iliundwa kwa Sheria ya Nguvu za Atomu Na. 7 ya Mwaka 2003 (Atomic Energy Act No.7 of 2003).Sheria ya Bunge Na. 7(2003) ilifuta Sheria Na.5 ya mwaka 1983 (The Protection from Radiation, No. 5 of 1983) iliyoanzisha Tume ya Taifa ya Mionzi (National Radiation Commission).Zaidi unaweza kusoma hapa>>>
Sheria hii imeipa TAEC mamlaka ya kudhibiti matumizi salama ya mionzi nchini ikiwemo kuhamasisha matumizi salama ya teknolojia ya nyuklia nchini.
Je? Unataka kufahamu zaidi kuhusu sheria ya udhibiti wa mionzi nchini, pamoja na mambo mengine. Fuatilia maelezo ya wataalamu katika video hatua kwa hatua.