HomePicha Mandhari ya eneo la fukwe ya Coco Beach ambapo wafanyabiashara wamejengewa vibanda vya biashara Pichani ni muonekana wa kisasa wa eneo la fukwe la Coco Beach iliyopo jijini Dar es Salaam ambapo wafanyabiashara wamejengewa vibanda vya biashara. Tags Picha Facebook Twitter