Wafanyakazi wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC), wakiagwa rasmi na Uongozi (Mkurugenzi Mkuu na Wakurugenzi) kabla hawajaanza rasmi safari yao ya kwenda kushiriki michezo ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi (SHIMMUTA) itakayofanyika Morogoro. (Picha na TAEC).Wafanyakazi wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC), wakiagwa rasmi na Uongozi (Mkurugenzi Mkuu na Wakurugenzi) kabla hawajaanza rasmi safari yao ya kwenda kushiriki michezo ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi (SHIMMUTA) itakayofanyika Morogoro. (Picha na TAEC).
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC), Prof. Lazaro S.P. Busagala aliyekaa katikati akiwa katika picha ya Pamoja na wafanyakazi wa TAEC wanaokwenda kushiriki Michezo ya SHIMMUTA inayotaraijiwa kuanza siku ya Jumamosi tarehe 13/11/2021, Mjini Morogoro. (Picha na TAEC).