NA MWANDISHI DIRAMAKINI
BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imezitaka klabu kutumia kipindi cha mapumziko ya kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi kuboresha viwanja vyao nchini.