Hiki ndicho kikosi cha Taifa Stars kitakachomenyana na Uganda miaka 60 ya Uhuru Tanzania Bara
NA MWANDISHI MAALUM
KIKOSI cha Taifa Stars cha wachezaji 23 kitakachoingia kambini Desemba 6, 2021 kujiandaa na mchezo wa Kirafiki wa Kimataifa kusheherekea miaka 60 ya Uhuru dhidi ya Uganda.