Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ni miongoni mwa wizara zilizochangia mageuzi makubwa nchini hususani Miundombinu ya barabara ambayo imetapakaa kote nchini vijijini na mijini, Waziri wa kwanza alikuwa Amir Jamal aliyefuatiwa na wengine wengi ambapo kwa sasa anayeongoza jahazi ni Waziri Profesa Makame Mbarawa.