Ujumbe maalum wa Miaka 60 ya Uhuru kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA)
"Tunaadhimisha miaka 60 ya Uhuru tukiwa tumefikia asilimia 69.6 ya upatikanaji wa umeme vijijini na tukiwa na lengo la kufikia asilimia 75 mwaka 2025 na asilimia 100 mwaka 2030,"Wakala wa Nishati Vijijini (REA).