NA GODFREY NNKO
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) leo Desemba 14,2021 imetoa taarifa zifuatazo kuhusu viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni.
Kwa mujibu wa BoT leo dola ya Marekani nchini inabadilishwa kwa Shilingi 2,285.24 huku ikiuzwa kwa Shilingi 2308.1.
Upande wa Paundi ya Uingereza inabadilishwa kwa Shilingi 3027.03 huku ikiuzwa kwa Shilingi 3067.54. Kwa taarifa zaidi endelea katika ubao huu hapa chini;