Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitunuku Nishani ya Utumishi mrefu na Tabia Njema Mkaguzi wa Polisi Stahmili Herman Lusatila kati ya watunukiwa 893 ikiwa ni sehemu ya Sherehe ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara, katika hafla iliyofanyika Desemba 9, 2021, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitunuku Nishani ya miaka 60 ya Uhuru kwa Mkuu wa Jeshi la Uhamiaji nchini Kamishna Jenerali Dkt. Anna Peter Makakala kati ya watunukiwa 893 ikiwa ni sehemu ya Sherehe ya Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara, hafla ya utoaji wa Nishani hizo imefanyika Desemba 9,2021, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitunuku Nishani ya miaka 60 ya Uhuru kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta Jenerali Simon Nyakoro Sirro kati ya watunukiwa 893 ikiwa ni sehemu ya Sherehe ya Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara, hafla ya utoaji wa Nishani hizo imefanyika Desemba 9, 2021, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitunuku Nishani ya Utumishi Mrefu na Tabia Njema Mkaguzi wa Uhamiaji Abubakary Muhozi Yunusu kati ya watunukiwa 893 ikiwa ni sehemu ya Sherehe ya Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara, hafla ya utoaji wa Nishani hizo imefanyika Desemba 9, 2021, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitunuku Nishani ya miaka 60 ya Uhuru kwa Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee kati ya watunukiwa 893 ikiwa ni sehemu ya Sherehe ya Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara, hafla ya utoaji wa Nishani hizo imefanyika Desemba 9, 2021, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu).