Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Waziri wa Nchi Anayeshughulikia Mambo ya Nje Sheikh Shakhboot Nahyan Al Nahyan, alipofika katika ukumbi wa Hoteli ya Saadiyat Rotana Abu Dhabi kwa ajili ya mazungumzo yaliyofanyiki leo Januari 18,2022. Kulia kwa Rais ni Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe.Mohammed Abdalla Mtonga.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Nchi Anayeshughulikia Mambo ya Nje,Sheikh Shakhboot alipofika kumuona na kufanya mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Saadiyat Rotana Abu Dhabi mazungumzo hayo yamefanyika leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum Sanduku la Kasha mgeni wake Waziri wa Nchi Anayeshughulikia Mambo ya Nje, Sheikh Shakhboot Nahyan Al Nahyan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Saadiyat Rotana Abu Dhabi leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum Sanduku la Kasha mgeni wake Waziri wa Nchi Anayeshughulikia Mambo ya Nje, Sheikh Shakhboot Nahyan Al Nahyan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Saadiyat Rotana Abu Dhabi leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Waziri wa Nchi Anayeshughulikia Mambo ya Nje, Sheikh Shakhboot Nahyan Al Nahyan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Saadiyat Rotana Abu Dhabi leo.