Meja Jenerali Suleiman Mzee aridhishwa na ujenzi Kituo cha Biashara eneo la Gereza Isanga
MKUU wa Jeshi la Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee, Januari 22,2022 amekagua ujenzi wa Kituo cha Biashara katika eneo la Gereza Isanga, Dodoma na ameridhishwa na hatua ya ujenzi iliyofikiwa.
Aidha, CGP Mzee amehimiza kutangazwa kwa fursa hiyo ili fursa za kibiashara ziendelee.