NA MWANDISHI DIRAMAKINI
KATIBU wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema amepokea nakala ya barua kutoka kwa Job Ndugai ya kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge aliyompelekea Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kilimdhamini alipogombea nafasi hiyo.