TANESCO YATOA TAARIFA YA KATIZO LA UMEME LA DHARURA MIKOA YA ILALA NA TEMEKE

Tunawataarifu wateja wetu wa Mikoa ya Ilala na Temeke kuwa, kutokana na ajali ya moto soko la Mchikichini Ilala, miundombinu ya umeme imeathirika kwa kuungua na kupelekea baadhi ya wateja wetu kukosa huduma ya umeme. 

Maeneo yanayoathirika Ilala:

Kariakoo, Ilala sharifu shamba, Msimbazi Bondeni, mchikichini, Amana Hospitali, Buguruni Malapa, Rozana, Kisiwani, Sokoni, Madenge, Banda la Ngozi, Msimbazi Centre, Utete, Pangani, lindi, Binti Kamba, Madenge Relini, Beriego,Alfukhan na maeneo ya jirani.
Maeneo yaliyoathirika Temeke:

Jamana, Chuma Road, Branket, Dakawa, Unubini, Maduka mawili, Keko toroli, Keko bora, Keko sigara, Temeke manispaa, Keko bora, Veta Changombe, Keko Magurumbasi, Msd,Keko Mwanga, Keko juu, JKT Mgulani, Magereza, Jeshi la Wokovu, Uwanja wa Taifa wa ndani, Nyerere road, Tol gases, Jamana printers, Quality plaza, Toyota, Uniliver, Kiuta, Oilcom, mansoordaya, TTCL, Panasonic, King furniture, Gsm Pugu shopping Mall, superdol.

Aidha sehemu kubwa ya Wilaya ya Mbagala inakosa umeme ambayo ni; Mission, Rangi tatu, Kimbangulile, Kiburugwa, Kingugi, kilungule, chamazi, charambe, saku, Majimatitu, Mzambarauni, Nzasa,serenge, Sabasaba, Kipati, Kibondemaji, Mwanagati, Kizuiani, Zakhiem na maeneo ya jirani.

Mafundi wetu wanaendelea na jitihada za kuhakikisha huduma ya umeme inarejea mapema.

Tunawaomba radhi wateja wetu kwa usumbufu unaojitokeza. 

Mitandao ya kijamii:

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetutz, 

Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetutz

IMETOLEWA NA;

Ofisi ya Uhusiano,

TANESCO MAKAO MAKUU.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news