HomeHabari TANESCO:Tunatekeleza Kwa mujibu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Kituo cha Kupokea Umeme Mpomvu Geita kina uwezo wa Megawati 90, kiasi cha umeme kinachotosha mahitaji ya Mkoa wa Geita na migodi. Mahitaji ya Mkoa wa Geita kwa sasa ni Megawati 16. Tags Habari TANESCO Facebook Twitter