WAZIRI JENISTA AKABIDHIWA OFISI NA KUANZA KAZI RASMI BAADA YA KUAPISHWA NA MHESHIMIWA RAIS


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akikabidhiwa ofisi na mtangulizi wake Mhe. Mohamed Mchengerwa mara baada ya kuapishwa rasmi leo na Mhe. Rais kuiongoza Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe. Mchengerwa kwa sasa ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza baada ya kukabidhiwa ofisi na mtangulizi wake Mhe. Mohamed Mchengerwa mara baada ya kuapishwa rasmi leo na Mhe. Rais kuiongoza Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe. Mchengerwa kwa sasa ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa akitoa neno la shukrani kabla ya kukabidhi ofisi kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama leo jijini Dodoma. Wengine ni Viongozi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na Watumishi wa Ofisi yake mara baada ya kuripoti rasmi baada ya kuapishwa na Mhe. Rais kuiongoza Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kulia kwake ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa ambaye kabla alikuwa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi akilakiwa na Watumishi wa Ofisi yake mara baada ya kuripoti rasmi baada ya kuapishwa na Mhe. Rais leo Jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news