Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa leo Februari 23, 2022 akifunga Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Uwekezaji Katika Sekta ya Madini unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam