Ikiwa ni sehemu ya tamati ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Uwekezaji Katika Sekta ya Madini uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere kilichopo jijini Dar es Salaam kuanzia Februari 22 hadi leo Februari 23,2022. Matangazo haya yanakujia moja kwa moja kutoka katika Ukumbi wa Mlimani City. Karibu