Miaka 20 ya Gazeti la Zanzibar leo, Rais Dkt.Mwinyi azindua muonekano mpya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa muonekano mpya wa Gazeti la Zanzibar leo wakati wa sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar ambapo mwanzilishi wa gazeti hilo Rais Mstaafu wa Zanzibar, Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume alikuwepo katika sherehe hiyo.(Picha na Ikulu).
Baadhi ya waalikwa na wafanyakazi wa Gazeti la Zanzibar leo wakiwa katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo tokea kuanzishwa kwake zilizofanyika katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar. (Picha na Ikulu).
Baadhi ya waalikwa na wafanyakazi wa Gazeti la Zanzibar leo wakiwa katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo tokea kuanzishwa kwake zilizofanyika katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar.(Picha na Ikulu).
Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt.Amani Abeid Karume ambaye ni mwanzilishi wa Gazeti la Zanzibar leo akiangalia muonekeno mpya wa gazeti hilo mara baada ya uzinduzi uliofanywa na Rais wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika sherehe za kutimia miaka 20 zilizofanyika katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar.(Picha na Ikulu).




Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar .[Picha na Ikulu].

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimkabidhi zawadi Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume (kushoto) aliyeanzisha Gazeti la Zanzibar leo katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar (kulia) Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita .[Picha na Ikulu].




Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar .[Picha na Ikulu].







Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Cheti aliyekuwa mjumbe wa bodi Bw.Said Salim katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar (katikati) Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita.[Picha na Ikulu].





Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi Mkurugenzi Mtendaji wa Gazeti la Zanzibar leo Nd,Ali Haji Mwadini katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar(katikati) Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita na Dkt.Ali Mwinyikai muanzilishi .[Picha na Ikulu

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news