
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Airtel Afrika Olusegun Ogunsanya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Airtel Afrika Mashariki Ian Ferrao mara baada ya mazungumzo na viongozi hao wa Kampuni ya Airtel Afrika leo tarehe 27 Februari, 2022 Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu UAE. (Picha na Ikulu).