Serikali yaondoa Tozo ya Shilingi 100/- kwa kila lita ya Dizeli, Petroli na Mafuta ya Taa zilizopaswa kulipwa na watumiaji wa mafuta nchini
NA MWANDISHI DIRAMAKINI
SERIKALI imeondoa Tozo ya Shilingi 100 kwa kila lita ya Dizeli, Petroli na Mafuta ya Taa, zilizopaswa kulipwa na watumiaji wa mafuta nchini kwa muda wa miezi mitatu zaidi kuanzia mwezi Machi 2022 hadi mwezi Mei 2022.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Kwa umma leo Februari 28,2022 na Wizara ya Nishati;