NA GODFREY NNKO
LEO Franka ya Burundi inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.206 huku dola ya Marekani nchini ikinunuliwa kwa Shilingi 2286.67 huku ikiuzwa kwa Shilingi 2309.54.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Februari 2, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Euro ya Ulaya inanunuliwa kwa shilingi 2575.94 na kuuzwa kwa shilingi 2601.93.
Aidha,kwa mujibu wa BoT, Paundi ya Uingereza inanunuliwa kwa Shilingi 3084.04 huku ikiuzwa kwa Shilingi 3115.80.
Yuan ya China inanunuliwa kwa shilingi 359.512 huku ikiuzwa kwa shilingi 363.05 na Yen ya Japan inanunuliwa kwa shilingi 19.95 na kuuzwa kwa shilingi 20.15.
Wakati huo huo, Franka ya Rwanda inanunuliwa kwa shilingi 2.18 na kuuzwa kwa shilingi 2.25 huku shilingi ya Uganda ikinunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66.
Kwa upande wa Randi ya Afrika Kusini inanunuliwa kwa shilingi 150.25 na kuuzwa kwa shilingi 151.67 huku shilingi ya Kenya ikinunuliwa kwa shilingi 20.15 na kuuzwa kwa shilingi 20.313.
Tags
Bank of Tanzania Exchange Rates
BoT
Fedha na Uchumi
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania