NA GODFREY NNKO
LEO Paundi ya Uingereza inanunuliwa kwa Shilingi 3106.89 huku ikiuzwa kwa Shilingi 3138.68 na Euro ya Ulaya inanunuliwa kwa shilingi 2578.464 na kuuzwa kwa shilingi 2604.48.
Huku Franka ya Burundi ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.206.
Pia dola ya Marekani nchini inanunuliwa kwa Shilingi 2286.68 huku ikiuzwa kwa Shilingi 2309.55.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Februari 4, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Aidha,kwa mujibu wa BoT, Yuan ya China inanunuliwa kwa shilingi 359.51 huku ikiuzwa kwa shilingi 363.05 na Yen ya Japan inanunuliwa kwa shilingi 19.90 na kuuzwa kwa shilingi 20.1.
Wakati huo huo, Franka ya Rwanda inanunuliwa kwa shilingi 2.18 na kuuzwa kwa shilingi 2.25 huku shilingi ya Uganda ikinunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66.
Kwa upande wa Randi ya Afrika Kusini inanunuliwa kwa shilingi 149.22 na kuuzwa kwa shilingi 150.63 huku shilingi ya Kenya ikinunuliwa kwa shilingi 20.15 na kuuzwa kwa shilingi 20.32.
Tags
Bank of Tanzania Exchange Rates
BoT
Fedha na Uchumi
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania