Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) yatoa adhabu kwa klabu
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imetoa adhabu kwa klabu mbalimbali za Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara pamoja na Ligi Daraja la Pili kwa makosa tofauti kama ifuatavyo;