WAZIRI wa Maji, Mheshimiwa Jumaa Aweso akielezea mafanikio yaliyopatikana katika Sekta ya Maji nchini kuelekea Mwaka Mmoja wa Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Waziri anaelezea mafanikio haya akiwa jijini Arusha leo Machi 5,2022. Tazama matangazo ya moja kwa moja hapa chini;