Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisoma kabrasha kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika katika ukumbi wa White House Dodoma na kulia kwa Rais ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ambae pia ni Waziri Mkuu, Mhe.Kassim Majaliwa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mjumbe wa Kamari Kuu ambae pia ni Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe.Dkt.Tulia Ackson.(Picha na Ikulu).