*Walioteuliwa ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mwani Zanzibar na Mwenyekiti wa Bodi ya Kamisheni ya Utalii Zanzibar
NA MWANDISHI DIRAMAKINI
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo Machi 28, 2022 amefanya uteuzi.
Uteuzi huo ni kama ifuatavyo;