Rais Dkt.Mwinyi afungua Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Mhe.Nape Moses Mnauye na Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar, Mhe.Tabia Maulid Mwita, alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni, kuhudhuria ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) uliofanyika katika ukumbi huo Machi 9,2022.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja baada ya kuwasili kwa ajili ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.Mhe. Nape Moses Mnauye.(Picha na Ikulu).
Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Buluu Zanzibar, Dkt.Aboud Jumbe akiwasilisha Mada kuhusiana na Uchumi wa Buluu, wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar, uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(Picha na Ikulu).
Mjumbe wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Bw.Salim Said Salim akiwasilisha Mada kuhusiana na kuripoti Habari za Uchumi wa Buluu, wakati wa Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) baada ya kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Bw. Deodatus Balile akizungumza kuhusiana na Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja jijini Zanzibar, kabla ya kufunguliwa na mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Uzinduzi wa Jukwaa la Wahariri Zanzibar (TEF) Bw. Haji Suweid Ramadhan baada ya kumalizika kwa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa (TEF) uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).
Wahariri wa vyombo vya habari na wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja jijini Zanzibar.
Wahariri wa vyombo vya habari na wageni waalikwa wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news