Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Godfrey Kasekenya, amekutana na kuzungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kamishina Jenerali Thobias Andengenye kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo miradi ya kimkakati ya ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja inayoendelea mkoani humo.(Picha na WUU).