UFUATAO hapa chini ni msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite 2021/2022 (Women's Premier League 2021/2022.
Katika msimamo huu, Simba Queens wanaongoza kileleni wakifuatiwa na Yanga Princess huku nafasi ya tatu ikishikiliwa na Baobab Queens.