*Dola ya Hong Kong inanunuliwa kwa shilingi 292.22 na kuuzwa kwa shilingi 295.13
NA GODFREY NNKO
LEO Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1715.5 na kuuzwa kwa shilingi 1733.1 huku Franka ya Ubeligiji (BEF) ikinunuliwa kwa shilingi 50.06 na kuuzwa kwa shilingi 50.50.
Aidha,Randi ya Afrika Kusini inanunuliwa kwa shilingi 156.95 na kuuzwa kwa shilingi 158.5 huku shilingi ya Kenya ikinunuliwa kwa shilingi 19.9 na kuuzwa kwa shilingi 20.10.
Yuan ya China inanunuliwa kwa shilingi 359.31 huku ikiuzwa kwa shilingi 362.8 na Yen ya Japan inanunuliwa kwa shilingi 18.80 na kuuzwa kwa shilingi 18.99.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Machi 28, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Franka ya Burundi inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21 huku dola ya Marekani nchini ikinunuliwa kwa Shilingi 2287.06 na kuuzwa kwa Shilingi 2309.93.
Aidha,kwa mujibu wa BoT, Paundi ya Uingereza inanunuliwa kwa Shilingi 3012.972 huku ikiuzwa kwa Shilingi 3044.026 na Euro ya Ulaya inanunuliwa kwa shilingi 2518.97 na kuuzwa kwa shilingi 2544.39.
Wakati huo huo, Franka ya Rwanda inanunuliwa kwa shilingi 2.23 na kuuzwa kwa shilingi 2.29 huku shilingi ya Uganda ikinunuliwa kwa shilingi 0.61 na kuuzwa kwa shilingi 0.64.
Kwa mujibu wa Benki Kuu, Dirham (AED) ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) inanunuliwa kwa shilingi 622.7 na kuuzwa kwa shilingi 628.8 huku sarafu ya Austria ya Schilling (ATS) ikununuliwa kwa shilingi 146.8 na kuuzwa kwa shilingi 148.1.
Tags
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
BoT
Fedha na Uchumi
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania