NA GODFREY NNKO
LEO Franka ya Rwanda inanunuliwa kwa shilingi 2.21 na kuuzwa kwa shilingi 2.26 huku shilingi ya Uganda ikinunuliwa kwa shilingi 0.614 na kuuzwa kwa shilingi 0.644.
Euro ya Ulaya inanunuliwa kwa shilingi 2499.2011 na kuuzwa kwa shilingi 2525.313 na Yuan ya China inanunuliwa kwa shilingi 362.132 huku ikiuzwa kwa shilingi 365.12.
Aidha,Yen ya Japan inanunuliwa kwa shilingi 19.812 na kuuzwa kwa shilingi 20.01.
Paundi ya Uingereza inanunuliwa kwa Shilingi 3035.27 huku ikiuzwa kwa Shilingi 3066.313 na Franka ya Burundi inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.
Aidha,dola ya Marekani nchini inanunuliwa kwa Shilingi 2286.97 huku ikiuzwa kwa Shilingi 2309.8.4
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Machi 7, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Aidha, Randi ya Afrika Kusini inanunuliwa kwa shilingi 148.9 na kuuzwa kwa shilingi 150.31 huku shilingi ya Kenya ikinunuliwa kwa shilingi 20.08 na kuuzwa kwa shilingi 20.24.
Tags
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
BoT
Fedha na Uchumi
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania