NA GODFREY NNKO
LEO Randi ya Afrika Kusini inanunuliwa kwa shilingi 148.9 na kuuzwa kwa shilingi 150.4 huku shilingi ya Kenya ikinunuliwa kwa shilingi 20.1 na kuuzwa kwa shilingi 20.23.
Franka ya Burundi inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21 huku dola ya Marekani nchini ikinunuliwa kwa Shilingi 2286.980 na kuuzwa kwa Shilingi 2309.85.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Machi 9, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Aidha,kwa mujibu wa BoT, Paundi ya Uingereza inanunuliwa kwa Shilingi 2996.173 huku ikiuzwa kwa Shilingi 3027.06 na Euro ya Ulaya inanunuliwa kwa shilingi 2493.952 na kuuzwa kwa shilingi 2519.81.
Yuan ya China inanunuliwa kwa shilingi 362.11 huku ikiuzwa kwa shilingi 365.70 na Yen ya Japan inanunuliwa kwa shilingi 19.8 na kuuzwa kwa shilingi 19.95.
Wakati huo huo, Franka ya Rwanda inanunuliwa kwa shilingi 2.22 na kuuzwa kwa shilingi 2.25 huku shilingi ya Uganda ikinunuliwa kwa shilingi 0.61 na kuuzwa kwa shilingi 0.64.
Tags
Bank of Tanzania Exchange Rates
BoT
Fedha na Uchumi
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania