WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano utakaofanyika Machi 5, 2022 (Jumamosi) kupitia Mtandao wa Zoom kuanzia saa 10 kamili jioni hadi saa 12 na nusu jioni.
Muda ukifika (Saa 10 kamili Jioni ya tarehe 5, Jumamosi) utaweza kujiunga na kushiriki moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3Cb1cZd
Au kupitia
Meeting ID: 81653253637
Passcode: 632994
Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Sauti Kuu, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.
Karibu tujadili kwa pamoja dhana ya Wanawake na Uongozi Kuelekea Mwaka mmoja wa Rais Samia Madarakani. Usikose!
Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.