Waziri Dkt.Nchemba awasilisha Mapendekezo ya Ukomo wa Bajeti 2022/23

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), (kulia), akipongezwa na baadhi ya Mawaziri, baada ya kuwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2022/23 na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23, wakati wa Mkutano wa Wabunge wote.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini- WFM).
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2022/23 na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23, katika Mkutano wa Wabunge wote jijini Dodoma, ambapo Serikali imepanga kutumia shilingi trilioni 41.06.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) (kulia) akifurahia jambo wakati wa Mkutano wa Wabunge wote jijini Dodoma ambapo Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiwasilisha Mapendekezo ya Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23 na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba (kushoto) pamoja na baadhi ya viongozi wa Wizara hiyo, wakifuatilia uwasilishaji wa Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2022/23 na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23, katika Mkutano wa Wabunge wote jijini Dodoma.
Baadhi wa viongozi wa Idara wa Wizara ya Fedha, Watumishi wa Bunge na Wabunge wakifuatilia uwasilishaji wa Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2022/23 na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23, katika Mkutano wa Wabunge wote jijini Dodoma.
Baadhi wa viongozi wa Idara wa Wizara ya Fedha, wakiwa katika Ukumbi wa Pius Msekwa, jijini Dodoma wakisubiri kuwasilishwa kwa Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2022/23 na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23, wakati wa Mkutano wa Wabunge wote.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news