Waziri Mhandisi Hamad Masauni alimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa namna ambavyo ameiwezesha wizara hiyo na taasisi zake zote ikiwemo Vyombo vya Ulinzi na Usalama vilivyopo chini ya wizara tangu alipoingia madarakani.