Muonekano wa miundombinu ya Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP-MW2115), ambalo ujenzi wake unaendelea Rufiji mkoani Pwani. (Picha zote na WUU).
Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo anayesimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julias Nyerere (JNHPP-MW2115), akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na ujumbe wake (hawapo pichani), alipokagua maendeleo ya mradi huo.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akimsikiliza kwa makini Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo (kulia) anayesimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP-MW2115), alipokagua maendeleo ya mradi huo.
Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo anayesimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP-MW2115), akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na ujumbe wake walipokagua maendeleo ya mradi huo unaoendelea Rufiji mkoani Pwani.