Waziri Mkuu azindua Mradi wa Ushirikiano wa Wasindikaji na Wazalishaji katika Sekta ya Maziwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Meneja Mauzo wa Kiwanda cha Kuzalisha Maziwa cha Kilimanjaro Fresh Eulalia Marandu (katikati) wakati wa halfa ya uzinduzi wa mradi wa ushirikiano wa wasindikaji na wazalishaji katika tasnia ya maziwa Tanzania (Tanzania Inclusive Processor- Producer Partnership in Dairy-TI3P), wa kwanza kushoto ni Mtumishi wa Kiwanda cha Kilimanjaro Fresh Hilda Halisi. Mradi huo unaratibiwa kwa ushirikiano kati ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo na Taasisi ya Bill and Melinda Gates, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania Jijini Dar es salaam Machi 7, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa mikataba iliyosainiwa ya mradi wa ushirikiano wa wasindikaji na wazalishaji katika tasnia ya maziwa Tanzania (Tanzania Inclusive Processor- Producer Partnership in Dairy-TI3P),inayoratibiwa kwa ushirikiano kati ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo na Taasisi ya Bill and Melinda Gates, Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TADB Frank Nyabundege na kushoto ni Muwakilishi wa Taasisi ya Bill and Melinda Gates Marcella McClatchey, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania Jijini Dar es salaam Machi 7, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa ushirikiano wa wasindikaji na wazalishaji katika tasnia ya maziwa Tanzania (Tanzania Inclusive Processor- Producer Partnership in Dairy-TI3P),inayoratibiwa kwa ushirkiano kati ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo na Taasisi ya Bill and Melinda Gates, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania Jijini Dar es salaam Machi 7, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa ushirikiano wa wasindikaji na wazalishaji katika tasnia ya maziwa Tanzania (Tanzania Inclusive Processor- Producer Partnership in Dairy-TI3P),inayoratibiwa kwa ushirkiano kati ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo na Taasisi ya Bill and Melinda Gates, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania Jijini Dar es salaam Machi 7, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki (katikati) na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima (Kushoto) wakati wa uzinduzi wa mradi wa ushirikiano wa wasindikaji na wazalishaji katika tasnia ya maziwa Tanzania (Tanzania Inclusive Processor- Producer Partnership in Dairy-TI3P),inayoratibiwa kwa ushirikiano kati ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo na Taasisi ya Bill and Melinda Gates, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania Jijini Dar es salaam Machi 7, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa mikataba iliyosainiwa ya mradi wa ushirikiano wa wasindikaji na wazalishaji katika tasnia ya maziwa Tanzania (Tanzania Inclusive Processor- Producer Partnership in Dairy-TI3P),inayoratibiwa kwa ushirikiano kati ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo na Taasisi ya Bill and Melinda Gates, Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Frank Nyabundege na kushoto ni Mwakilishi wa Taasisi ya Bill and Melinda Gates Marcella McClatchey, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania Jijini Dar es salaam Machi 7, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa mikataba iliyosainiwa ya mradi wa ushirikiano wa wasindikaji na wazalishaji katika tasnia ya maziwa Tanzania (Tanzania Inclusive Processor- Producer Partnership in Dairy-TI3P),inayoratibiwa kwa ushirikiano kati ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo na Taasisi ya Bill and Melinda Gates, Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TADB Frank Nyabundege na kushoto ni Mwakilishi wa Taasisi ya Bill and Melinda Gates Marcella McClatchey, katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania jijini Dar es salaam Machi 7, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news